Kilaka (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walaka. Isichanganywe na lugha ya Kilaka inayozungumzwa nchini Chad. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kilaka imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaka iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaka (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.