Kikuy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuy ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai, Kamboja na Laos inayozungumzwa na Wakuy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuy nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu 400,000. Pia kuna wasemaji 42,800 nchini Laos (2005) na 10,000 nchini Kamboja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuy iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.