Kikusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikusu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakusu. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kikusu imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikusu iko katika kundi la C80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikusu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.