Kikuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuri (pia Kimodan au Kinabi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakuri kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kikuri imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Wakuri wengi wameacha lugha yao, Kikuri iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha Kikuri haijaainishwa kwa ndani zaidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.