Kikuman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuman ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakuman. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikuman imehesabiwa kuwa watu 115,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuman iko katika kundi la Kichimbu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.