Kikujarge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikujarge ni lugha nchini Chad inayozungumzwa na Wakujarge. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikujarge imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikujarge hakijaainishwa na kimeonekana kuwa lugha ya pekee bila familia ya lugha nyingine zilizobaki duniani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikujarge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.