Kikuhane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuhane (pia Kisubiya) ni lugha ya Kibantu nchini Namibia, Botswana na Zambia inayozungumzwa na Wakuhane. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuhane nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 26,600. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Botswana (2006) na wasemaji 1350 nchini Zambia (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikuhane iko katika kundi la K40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuhane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.