Kikrongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikrongo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakrongo. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikrongo imehesabiwa kuwa watu 21,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrongo iko katika kundi la Kikadugli-Krongo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.