Kikomodo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikomodo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakomodo kwenye visiwa vya Komodo na Flores. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikomodo imehesabiwa kuwa watu 700 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikomodo iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikomodo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.