Kikodia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikodia (au Kikwadia) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakodia. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikodia imehesabiwa kuwa watu 840 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikodia iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikodia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.