Kikobiana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikobiana ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Senegal inayozungumzwa na Wakobiana. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikobiana nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 690 tu. Pia kuna wasemaji 400 nchini Senegal. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikobiana iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikobiana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.