Kikirike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikirike ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakirike. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikirike imehesabiwa kuwa watu 248,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikirike iko katika kundi la Kiijoidi. Wataalamu wengine wanaiangalia kama lahaja ya Kikalabari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikirike kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.