Kikhwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhwe (pia Kikxoe) ni lugha ya Khoisan nchini Namibia, Afrika Kusini, Angola, Zambia na Botswana inayozungumzwa na Wakhwe. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikhwe nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 2900. Pia kuna wasemaji 1200 nchini Afrika Kusini (2010), wasemaji 1600 nchini Botswana (2010), wasemaji 790 nchini Angola (2000) na wasemaji 300 tu nchini Zambia (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhwe kiko katika kundi la “Kalahari Khoe”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.