Kikhe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wakhe. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikhe nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 1300 tu. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire lakini idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhe iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.