Kikensiu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikensiu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakensiu. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kikensiu imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Hata hivyo idadi ya wasemaji inaendelea kukua. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikensiu iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikensiu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.