Kikei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikei (pia Kisaumlaki) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakei kwenye visiwa vya Kei, Kecil, Besar na vinginevyo. Pia Wakei wengine wamehamia visiwa vya Kur. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikei imehesabiwa kuwa watu 85,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikei iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.