Kikayan cha Busang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikayan ya Busang)

Kikayan ya Busang (pia Kibusang) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikayan ya Busang imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayan ya Busang iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayan cha Busang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.