Kikaur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaur (pia Kibintuhan au Kimulak) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaur kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikaur imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaur iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.