Kikari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikari ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakari. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikari nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 1000. Pia kuna wasemaji waliosambaasambaa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kikari hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.