Kikarang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikarang (lugha))

Kikarang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakarang. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikarang imehesabiwa kuwa watu 17,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarang iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.