Kikaraboro-Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaraboro-Mashariki (au Kikar) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakaraboro. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikar nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji 5610 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikar iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaraboro-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.