Kikaonde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaonde ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wakaonde. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaonde imehesabiwa kuwa watu 207,000. Pia kuna wasemaji 36,000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaonde iko katika kundi la L40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaonde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.