Kikanuri-Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikanuri ya Kati)

Kikanuri-Kati ni lugha ya Kinilo-Sahara hasa nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakanuri. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kikanuri yenyewe. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kikanuri-Kati nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Pia kuna wasemaji 104,000 nchini Chad (2006), 80,000 nchini Niger (1998) na 56,500 nchini Kamerun (1982). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanuri-Kati iko katika kundi la Kisahara-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanuri-Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.