Kikaningi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikaningi (lugha))

Kikaningi ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wakaningi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikaningi imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaningi iko katika kundi la B60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaningi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.