Kikangean

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikangean ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakangean kwenye kisiwa cha Kangean. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikangean imehesabiwa kuwa watu 110,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikangean iko katika kundi la Kimadura.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikangean kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.