Kikam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakam. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikam imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikam iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.