Kikalao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikalao (pia Kilambego) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakalao kwenye visiwa vya Kalao na Selayar. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikalao imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Wakalao wengi wameacha lugha yao, Kikalao iko hatarini kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalao iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.