Kikako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikako ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakako. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikako nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 10,400 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na 9060 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikako iko katika kundi la A90.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikako kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.