Kijju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijju ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajju. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kijju imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijju iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.