Kijehai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijehai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia na Uthai inayozungumzwa na Wajehai. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kijehai nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 1000. Pia kuna wasemaji 150 nchini Uthai. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijehai iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijehai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.