Kijakun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijakun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wajakun. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kijakun imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijakun iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijakun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.