Kiivatan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiivatan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waivatan kwenye kisiwa cha Batanes. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiivatan imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiivatan iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiivatan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.