Kiito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiito ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria ambayo huzungumzwa na Waito. Mnamo mwaka 1988 idadi ya wazungumzaji wa lugha ya Kiito ilifikia watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiito iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiito kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.