Kiitawit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiitawit ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waitawit. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiitawit imehesabiwa kuwa watu 134,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiitawit iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiitawit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.