Kiiraya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiiraya ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wairaya kwenye kisiwa cha Mindoro. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiiraya imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiraya iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiraya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.