Kiipulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiipulo (lugha))

Kiipulo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waipulo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiipulo imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiipulo iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiipulo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.