Kiik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiik ni lugha ya mashariki mwa Uganda inayozungumzwa na Waik. Idadi ya wasemaji wa Kiik imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kiik iko katika kundi dogo la lugha za Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha za Kinilo-Sahara ambazo pengine zinahusianishwa nalo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.