Kihemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihemba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahemba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihemba imehesabiwa kuwa watu 181,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihemba iko katika kundi la L30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.