Kihelong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihelong (pia Kisemau) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahelong kwenye visiwa vya Semau na Timor. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kihelong imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihelong iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihelong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.