Kihanga (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihanga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wahanga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kihanga imehesabiwa kuwa watu 6800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihanga iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihanga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.