Kihaeke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihaeke ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wahaeke. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kihaeke imehesabiwa kuwa watu 300, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihaeke iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihaeke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.