Kigvoko
Kigvoko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wagvoko. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kigvoko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigvoko kiko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje [hariri]
- lugha ya Kigvoko kwenye Multitree
- ramani ya Kigvoko
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=ngs
Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.