Kigua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigua ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wagua. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kigua imehesabiwa kuwa watu 60,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigua iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.