Kigoma (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kigoma
Kigoma is located in Tanzania
Kigoma
Kigoma
Mahali pa Kigoma katika Tanzania
Anwani ya kijiografia: 4°52′48″S 29°36′36″E / 4.88°S 29.61°E / -4.88; 29.61
Nchi Tanzania
Mkoa Kigoma
Wilaya Kigoma Mjini
Idadi ya wakazi (2002)
 - Mji 144,852

Kigoma ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kigoma. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 144,852 [1].

Marejeo [hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kigoma (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.