Kigela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigela ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wagela kwenye visiwa vya Gela, Florida, Guadalcanal na Savo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kigela imehesabiwa kuwa watu 11,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigela iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.