Kigane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigane (pia Kigiman) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagane kwenye kisiwa cha Halmahera. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kigane imehesabiwa kuwa watu 2900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigane iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.