Kifali-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kifali-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafali. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kifali-Kusini imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifali-Kusini kiko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

[hariri] Viungo vya nje

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifali-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine