Kiewondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiewondo ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waewondo. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiewondo imehesabiwa kuwa watu 578,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiewondo kiko katika kundi la A70.

[hariri] Viungo vya nje

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiewondo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine