Kieton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kieton ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waeton. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kieton imehesabiwa kuwa watu 52,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kieton iko katika kundi la A70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieton kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.