Kielhugeirat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kielhugeirat ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Waelhugeirat. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kielhugeirat imehesabiwa kuwa watu 50 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kielhugeirat iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kielhugeirat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.